Pages

Sunday, 10 August 2014

Matokeo ya mechi za leo za Barclays Premier League

 Chelsea 2-1 Blackburn ,
 Everton 3-1 Newcastle ,
 Man City 3-2 QPR ,
 Norwich 2-0 Aston Villa ,
 Stoke City 2-2 Bolton ,
Sunderland 0-1 Man Utd ,
Swansea 1-0 Liverpool ,
Tottenham 2-0 Fulham ,
 West Brom 2-3 Arsenal ,
Wigan 3-2 Wolves.

like page yetu

Thursday, 7 August 2014

YANGA NA SIMBA WAKABIDHIWA VIFAA NA KILIMANJARO

 
Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kulia), wakionesha baadhi ya vifaa vya michezo  walivyokabidhiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambao ndio wadhamini wakuu wa klabu hizo. Wa pili kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe na Mkurugenzi wa Mashindano, Saad Kawemba. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jijini Dar es Salaam
 
Na Clezencia Tryphone
KLABU kongwe nchini za Simba na Yanga, zimekabidhiwa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 34 kila moja kutoka

Friday, 1 August 2014

Je unataka kucheka ?soma hapa

********************************************************************

Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
''YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapa...!!!
Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA...!!!"
Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee
 

JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONE♥

***************************************************************************** 

Sikia huyu Baba anamuuliza mtoto
wake, "Eti,ukiwa mkubwa utapenda ufanye kazi gani???
Mtoto,"Napenda sana udaktari"
Baba: "Kwanini???
Mtoto: "Kwasababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa mtu avue nguo na
akavua... na ukamshika sehemu yoyote hadi sehemu za siri na bado mume wake anakulipa
pesaa.. Baba... hoi wodi namba 11.
*****************************************************************************************
BABA NA MWANAE.

BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.
DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.
BABA: kwanini unasema hivyo?.
DOGO: kwasababu jana kanisani tulifundishwa "Yesu ni jibu" kwahiyo kote nimejaza Yesu.
BABA: kwel kazi ipo
JE UNGEKUWA WEWE HUYO NDO MWANAO UNGEMFANYAJE?
 

***************************************************************************** 

MKE NA MUME

MUME wakati anakata roho huku mkewe akiwa amemshikilia alisema mke wangu, mi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yako  

MKE akamnong'oneza mume wake na kumwambia mbona mimi nayafahamu yote, ndio maana nimekupa sumu ili na wewe ujue uchungu wake. JE  NANI ZAIDI?
****************************************************************************  
 Zuzu: Mambo Anna!
Anna: Poa!
Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyeshe...
Anna: Kitu gan?
Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda)
Anna: Haya nionyeshe...
Zuzu: Funga mlango na madirisha kwanza (akafunga)
Anna: Haya nionyeshe sasa!..
Zuzu: Zima taa kwanza (akazima)
Anna: Mhm...nionyeshe sasa!
Zuzu: Haya njoo hapa kitandani...
Anna: Ok, nionyeshe!
Zuzu: Ona nimenunua saa ambayo inawaka yenyewe gizani... Acha mawazo mabaya ww???

*****************************************************************************

Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa? 
Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"
mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo wewe.
*****************************************************************************

mzee alikuwa analala na mkewe kwenye kitanda cha kamba na watoto wanalala chini, sasa cku moja mzee akaomba game kwa mkewe, mke akakataa akasema watoto hawajalala tusubirii. mzee akalazimisa hivyo hivyo ikabidi mkeo amkubalie. sasa alipoingiza mboo akamuuliza mkewe vp imeingia??
watoto wakajibu: hapana baba hii huku chini.

*****************************************************************************

MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"
MLEVI: Niletee supu kisha wasikilize wote waliokaa hapa na wao wape supu sipendi kunywa supu watu wananiangalia
Safari hii watu wakapiga makofi
Baadae akamuita mhudumu
MLEVI: Niandikie bili zangu kisha waandikie wote bili zao sipendi kulipa huku watu wananiangalia

Wale wateja wakamvaa na kumshushia kichapo... teh teh teh teh teh hii kali hakuna cha bure mjini hahahaha na jasho la mtu haliliwi wandugu

 **************************************************************************** 
Mume anamuuliza mkewe: wewe kutwa nzima unacheki kipindi cha mapishi kwa Tv lakini kupika kwenyewe hujuii.....
Mke akamjibu: wewe mbona usiku kucha unaangalia movie za ngono lakini huwezi duuuuh!, nilishawahi kukuulizaa??? Zaidi ya mimi kutoka nje kwenda ku du na wenzako 2heshimiane bwana! ....jamaaa akafa hapohapo.!!


***************************************************************************** 
Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapo.......



*****************************************************************************
jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka... Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuullza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu: "kinachonichekesha, yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza.
*****************************************************************************
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
MKAKA: Samahani sana....jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simu....aise saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifwate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu ntafutie mtoto mzuri nimumwagie midola niliyokuja nayo, ok ciao tuonane badae.
MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saa.....
MKAKA: Achana na mimi wewe

Ha ha ha ha haaaaa!!
*****************************************************************************
Demu mkaliiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma, mzee kavaa viatu vinatema kishenzi demu kashindwa kuvumilia na kuropoka, "wee mzee ni VIATU vyako vinanuka au?" Mzee akamjibu kwa upole, "Hapana hebu angalia CHUPI yako labda iko upande mjukuu wangu!"
Yule demu kimyaaaa!
Chezea Wazee wenye hekima%
*****************************************************************************
Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake, mke wa rafiki yake hali nyama;
JAMAA: Aise hili ni bonge ya lanchi hii, lakini Levi mbona sisi tu tunakula nyama shemeji Gulo hagusi kabisa anaishia mchicha tu? Tabia gani hii?
LEVI: Hapana sijamkataza, ila shemeji yako Mngoni halagi nyama ya FISI kama sisi

JAMAA AKAZIMIA HAPOHAPA
*****************************************************************************
Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18.

Wakati fundi anaendelea na kazi kumbe mmeo huyu dada alishafika. hakutaka kumjulisha mkeo, kwa nia nzuri tu ya kumfanyia suprise, kwani alikuja na mazaga zaga kibao. Hiyo aliingia kwa kunyatia hadi kwenye mlango wa chumbani kwao. Ghafla akasikia mazungumzo ya mkeo na fundi ndani. Mazungumzo yalikuwaje? fuatilia hapa chini

Mama X: Fanya haraka mme wangu amekaribia
Fundi: Nakaribia kumaliza, nisaidie kuchomeka vizuri upande wako (akikusudia chaga)
Mama X: Mbona haiingii
Fundi: Ingiza kwa upande upande
Mama X: Sukuma kwa nguvu
Fundi: Angalia usiumie
Mama X: Hamna shida imeingia

Wakati jamaa akiendelea kusikiliza mlangoni, fundi akaweza godoro juu ya kitanda na mama x akajitupa kitandani kujaribu kama kimetengamaa. mara chaga akachomoka na kuanguaka chini. Nini kilifuata

Mama x: Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiii(miguno) "my God, mbona hivi"
Fundi : Pole sana
Mama X: sasa?
Fundi: Ngoja nichomeke tena
Mama X: Yaan wewe, utaacha mme wangu afike hatujamaliza
Fundi: Usijali namaliza sasa hivi

Baada ya dakika chache, fundi akamuaga mama na kumwambia tayari, sasa naona umefurahi. Kutoka tu mlangoni akakutana uso kwa uso na jamaa amekunja ndita kama matuta ya viatu. Gues what happened?

Kitu gani kitatokea kisia toa maoni yako kama ni ww ungefanyaje?
sahare ili watu wazidi kutoa maoni yao na kumfanya admini wa page azidi kupata moyo wa kuwawekea habari nzuri zaidi

PIA KWA HABARI ZA MICHEZO,BURUDANI WANAOTAFUTA WACHUMBA MCHEZO WA KUPATA MARAFIKIN.K
(USISAHAU KU LIKE PAGE YETU)
(fwata hiyo link hapo chini itakuelekeza)

https://www.facebook.com/jambotz  
*****************************************************************************
NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
NAKUA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....NAKUA kaingia ndani kamkuta mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda kwenye kabati kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi ndani ya kabati
NAKUA: Aise unajua we fala sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na mwanao.
 

*****************************************************************************

Binti: Hallo mpenzi, mambo!
Jamaa: Poa baby!
Binti: Uko wapi?
Jamaa: Mimi niko town napata lunch.
Binti: Wow! Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear, nataka uniletee msosi.
Jamaa: Narudi baada ya nusu saa, Nikuletee nini?
Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne yakaangwe
pembeni, baga, piza ya samaki waweke mayonaize, coka
take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya
Wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya Kilimanjaro.
Jamaa: Umesahau viti, meza, leseni, masufuria, sahani na vijiko.
Binti: Kwa nini dear?
Jamaa: Naona hutaki kula, unataka kufungua hoteli??
*****************************************************************************


Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia mke wake chupi dazeni moja zote za rangi nyeusi, akaenda kumzawadia. Mpenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote ni nyeusi si akaropoka.
MY HONEY: Sasa umeninunulia chupi zote nyeusi, sasa watu si watadhani nina chupi moja tu sibadili,
Jamaa alifura akawa kama mbogo na hapo ndipo zogo kuu lilipoanza

MUME:Watu gani hao watakaokuambia unachupi moje, inamaana unawaonyesha kitumbua changu? Leo utanambia'
Ungekuwa wewe ungefanya nini?

 *****************************************************************************

MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me.
MSichAnA: eeeh unaniambia hivo mimi?
JAMAA: nakuomba sana forget me.
MSICHANA: aya bwana poa maisha mema. 

Msichana anakata simu jamaa ndo ananiuliza."sasa
sijui amekasirikia lipi?" Mi nikamwambia we zuzu
umemwambia AKUSAHAU, dah, kumbe
ningemwambiaje? 
hahaha, ungemwambia
ForgivE me! au Ungesema Tu NaombA nSameHe.

 *****************************************************************************
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara..... Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.

Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.

Mama: Nani kakuambia?
Msichana: Baba kaniambia.

Mama: ok. Sababu ya pili?
Msichana: Napasi nguo vizuri kuliko wewe

Mama: Nani kakuambia na hili?

Msichana: Baba pia kaniambia

Mama: ok, na sababu ya tatu?

Msichana: Najitahidi kitandani kuliko wewe.

(Hapa mama kaonekana kutaka kujua zaidi na akawa tayari kujiandaa kumrukia akate kichwa cha binti mara moja)

Mama: Mume wangu kakuambia na hili pia?

Msichana: Hapana ni Shamba boy kaniambia mimi najitahidi kitandani kuliko wewe.

Mama: Tafadhali punguza sauti baba yako asisikie. Nitakupandishia mshahara wako mara tatu.......
 

*****************************************************************************
Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo alifariki kwa heshma wakamchongea Jeneza la umbo la moyo wakati wakiaga mwili wa marehemu Docta1 alikuwa anacheka sana Padri akamuuliza mbo
***************************************************************************** 
Alipomuumba mwanaume alianzia kichwa 2 kifua pamoja na mikono 3tumbo alivyofika chini ya kitovu akaumba nyamanyama tu zenye umbo la ndizi akaacha hivyohivyo kwanza baade aje awekee mfupa akaendelea kuumba miguu basi alivyo maliza miguu akataka arudi amalizie ile kazi yakuwekea mfupa kwenye ile nyama looo! si akakuta jamaa amesimama du! hivi wewe vipi nikikuwekea mfupa si utamaliza watu! basi tosha utakaaga hivyohivyo daima. 
******************************************************************************

Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi

1. nitakupa
2. Atapewa mbele
3. Hujapewa mbele?
4. Utapewa nyuma
5. Nitakupa nikikaa vizuri
6. Ngoja isimame nikupe
7. subiri asimamishe nikupe
8. hivi nlivyo kaa ntakupaje?
9. Utapewa tulia
10. Nikupe mara ngapi?


*****************************************************************************

Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimu
akasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi ataondoka asiye jibu atabaki.
Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.
Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje?
Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango akaenda kwao.

neno moja kwa dogo



*****************************************************************************

Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.

Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?"

Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio kitandani mwako uko mbinguni!"

Jamaa, "Huh! Inamaana nimekufa,mbona mi bado kijana... naomba nirudishwe!"

Malaika, "Inawezekana lakini siwezi kukurudisha kama mtu labda urudi kama mbwa ama kuku."

Jamaa akakumbuka mbwa wanavyopata taabu ya kulinda, akaonelea arudi kama kuku.

Malaika akamgeuza kuku, akamwambia ajifunze kutaga kabla hajapelekwa

HIVI UNAYAFAHAMU MAJANGA KUMI YA ASILI YANAYOONGOZA KWA KUUA WATU KATIKA MUDA MFUPI? SOMA KWA UFUPI UPATE KUJUA YANAVYOTOKEA.


Majanga ya asili(Natural Disasters) ni matukio yanayotokea kwa wingi duniani hutumia muda mfupi lakini madhara yake huwa ni makubwa.
Katika muda mfupi yanayotumia huondoa maisha nakujeruhi watu pamoja na uharibu wa mali.
Majanga haya huwa hayana eneo maalumu popote yanaweza kutokea japo kuna baadhi ya maeneo huwa ni mara kwa mara yanajirudia.

Mara nyingi unapowauliza mashuhuda wa matukio haya ya majanga ya asili hukosa jibu kamili la kilichotokea, kwa mfano mashuhuda wengi wa kimbunga watakwambia "Niliona joka kubwa likitua juu ya nyumba na kuibomoa yote!!"
  
Hii inaashiria wakati majanga haya yanatokea taswira ya dunia huwa ni tofauti kabisa, ni kama ya mtu aliyekasirika na kukunja uso.
Hebu tujaribu kuyajua majanga 5 makubwa ambayo yanapotokea uharibifu wake huwa ni mkubwa sana.
1.UMEME(lightning):
Umeme hutokea pale ambapo kunakosekana ulingani wa chaji za umeme katika anga(Electric charge unbalance).
Kitendo hiki husababisha eneo moja la mawingu lenye chaji nyingi, kuachilia chaji zake(Electrostatic Discharge),ili kwenda kujaza eneo lililopungukiwa na hivyo chaji hizo zinapokutana na chaji za mawingu mengine zinazolingana husababisha kusukumana na kuanguka na kuambatana na sauti kubwa yaradi(Thunder).

2.MOTO WA MSITUNI(WILD FIRE)
Nyasi ndogo za msituni zinapopigwa na jua kwa muda mrefu, hukauka kabisa na kuanza kushika moto.
Matukio ya moto wa msituni hutokea zaidi katikamajira ya kiangazi na kipupwe ambapo huchangia kusambaa kwa kasi kwani matawi mengi ya miti huwayamekauka hivyo kushika haraka moto huo na unachagizwa zaidi na upepo mkali.

3.MLIPUKO WA VOLKANO(VOLCANIC ERUPTION):
Magma iliyoyeyuka chini ya miamba husababisha mlipuko wa miamba pale inapopigwa presha kupita katika njia ndogo na hivyo huruka juu na kuanza kusambaa juu ya ardhi.

4.BANGUKO(AVALANCHE):
Huu ni muanguko wa mapande makubwa ya barafu kutoka juu milimani na kushuka chini kwa kasi kubwa na kuleta uharibifu kwa wakazi wa karibu na eneo husika.

5.MAJIVU YA VOLKANO(VOLCANIC ASH):
Janga hutokea pale ambapo volkano imelipuka na kutoa majivu mazito ya miamba iliyosagwa angani.
Wataalamu wanasema moshi huu ndio huchangia kuua watu wengi kwani huwa na sumu. 
Kwa mfano Mlima mmoja Iceland mwaka 2011 ulipo lipuka na kutoa hayo majivu mazito yalisukumwa na upepo na kusababisha nchi nyingi za ulaya kusitisha safari zao za ndege.

Je wajua mbwa mwenye ulimi mrefu kuliko wote duniani


Huyu ni Mbwa mdogo tena wa ndani ya nyumba aitwae PUGGY mwenye umri wa miaka 8 aishie Stanford Hill hapa Central Londo. Mbwa huyu ni mdogo kwa umbo ila ndie Mbwa mwenye 'ULIMI' mrefu kuliko Mbwa wooote Duniani wanaoishi sasa! Ulimi wake una urefu wa inchi 4.5

MWANAUME ALIYELAZWA WADI YA WANAWAKE

Na Makongoro Oging'
MAAJABU zaidi yamebainika kuhusu kijana wa kiume, Karina Mohamed ‘Natalia’, 20, aliyelazwa wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke.
Karina Mohamed 'Natalia' enzi za uhai wake.
Karina, alilazwa wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke kwenye Hospitali ya Amana ambayo ina hadhi ya mkoa kitabibu, Ilala, Dar es Salaam, kabla ya kugundulika akiwa chumba cha maiti baada ya kufariki dunia.
Pamoja na habari hiyo ya Karina kuandikwa kwenye gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi, toleo namba 1005 la Mei 4, mwaka huu, Uwazi limebaini maajabu yaliyofanya alazwe wodi ya wanawake kwa siku mbili bila kugundulika.

MAAJABU YA KWANZA; SURA
Timu ya gazeti hili imebaini kuwa sura ya Karina, haina tofauti yoyote na ya mwanamke.
Uwazi limepata ushahidi wa picha za Karina, enzi za uhai wake na kujiridhisha kwamba sura ya kijana huyo ilikuwa na sifa nyingi za kike kuliko za kiume.
MAAJABU YA PILI; UMBO
Kupitia picha ambazo alipiga akiwa amevaa nguo za kubana, imebainika kuwa Karina ambaye ana asili ya Kiarabu, alikuwa ameumbika kwa sifa nyingi za kike.
Consolata Temu, 26, aliyemfahamu Karina enzi za uhai wake, alisema: “Niwe mkweli, yule jamaa aliumbika kike kuliko wanawake wengi sana. Mimi mwenyewe niliwahi kumwambia kwamba ningeumbika kama yeye ningeringa sana.”
Akaongeza: “Hipsi za Karina ni za kike zaidi. Nimewahi kukaribiana naye na kufanikiwa kumshika, yule jamaa alikuwa na mwili laini mpaka unaweza kujiuliza alikuwa anakula nini. Maana ni mwanamke kabisa.”
Karina Mohamed 'Natalia' akiwa katika hospitali ya Amana.
MAAJABU YA TATU; SAUTI
Imeelezwa kuwa Karina alikuwa na sauti nyembamba kiasi kwamba kila aliyezungumza naye, aliamini ni mwanamke mpaka yeye

SMS nyingiine bwana ni MAJANGA



Angalia magari ya ajabu

JIONEE MAGARI YENYE MAUMBO YA AJABU DUNIANI


























Ni vijimambo vinavyojitokeza duniani tu

Eti bibi anajaribu kulinganisha mguu wake kwenye kibao



Umeona gari linalofanana na mdomo wa mtu
 TEEEEHHHHH TEEEEHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH..........

like page yetu kwa kubofya hapa
 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets