Pages

Wednesday 8 July 2015

Picha: Vituko vya wiki hii kutoka WhatsApp

Ulifikiri sitakuona, nina mtambo kisasa hapa na huwa sijui neno ndio msamiati gani...
Kweli pombe haina adabu...
Kweli pombe haina adabu…
Most Wanted…na mke wake lakini kwahiyo totoz wote mumuone kama ukoma…
Kwa wale wenye tabia ya udokozi na wizi, mnakaribisha nyumba hii.
Kwa wale wenye tabia ya udokozi na wizi, mnakaribisha nyumba hii.
Zombi hilo, Suarez ametoka kuwa shujaa uwanajani hadi kituko mtaani, tena hasa baa, hatari sana.
Zombi hilo, Suarez ametoka kuwa shujaa uwanajani hadi kituko mtaani, tena hasa baa, hatari sana.
Oohoo!!! Hapa imekuwaje tena, kweli ng'ombe ana visa vikubwa, sishangai anaabudiwa India.
Oohoo!!! Hapa imekuwaje tena, kweli ng’ombe ana visa vikubwa, sishangai anaabudiwa India.
Duu!!! Mazoezi tosha jamaa, mana kama unatoka Ubungo hadi Kariakoo namna hiyo hata askari wenyewe watakupigia saluti joh.
Duu!!! Mazoezi tosha jamaa, mana kama unatoka Ubungo hadi Kariakoo namna hiyo hata askari wenyewe watakupigia saluti joh. Hawa Mafia kweli kweli…
Sasa jombaa hiyo fasheni ndo ya kisasa au vp, unatuchanganya, Mustapha Hassanali hajakuona nini? Mtafute.
Sasa jombaa hiyo fasheni ndo ya kisasa au vp, unatuchanganya, Masharobaro hawajakuona nini? Mtafute.
Ulifikiri sitakuona, nina mtambo kisasa hapa na huwa sijui neno ndio msamiati gani…
Umefika wakati sasa serikali kupitisha sheria ya abiria kukaa levo siti kama wanavyosema wenyewe. Mana hivi hapana...
Umefika wakati sasa serikali kupitisha sheria ya abiria kukaa levo siti kama wanavyosema wenyewe. Mana hivi hapana…

kama una matukio, hadithi, matangazo wasiliana kwa email hii mwandoorot@gmail.com

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets