Pages

Saturday 27 June 2015

VIUMBE WA AJABU WAISHIO ANGANI! - 8

 
INASEMEKANA kuwa wanasayansi wa Kimarekani wameshatuma vyombo vya anga karibu kila sayari katika mfumo wetu wa sayari ili tu kutafuta namna ya kudhibiti nguvu ya UFO na hawa aliens ambao wametawala anga.
Baada ya kuzichunguza hizi sayari, wakaamua kuzifutilia mbali ila tu sayari ya Mars na pengine kwa kuwa wapo wanaoamini kuna uwezekano wa binadamu au viumbe wengine kuweza kuishi.

Wednesday 17 June 2015

MWANAANGA WA KWANZA AFRIKA KWENDA MWEZINI ATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR.


 Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi akizungumza na wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari za jijini Dar  kuhusiana na shindano kubwa lililoshirikisha wanafunzi kutoka nchi zote za Afrika la kuandika Insha na kuchora picha kuhusiana na mambo ya Anga linaloitwa DStv EUTELSAT STAR AWARDS ambapo mshindi wake atapata nafasi ya kwenda Paris nchini Ufaransa na wazazi wake kushuhudia namna safari ya kwenda mwezini inavyofanyika kabla ya kumkaribisha Mwanaanga wa Kwanza Afrika Kwenda mwezini Patrick Baudry ambaye atazungumza nao kuhusiana na uzoefu wake kuhusiana na masuala ya Anga.
Barbara amesema kwamba mshindi wa shindano hilolililodhaminiwa na Dstv atatangazwa  hapo kesho katika hafla maalum ya chakula cha jioni itakayofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro.

DUH: HUYU NYOKA ANA VICHWA 7. MCHEKI HAPA

like kwa habari zaidi
    
 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets