Pages

Wednesday 4 January 2017

Tazameni Mtekelezaji wa Mambo ya Ajabu!

“Simama kimya, uzifikiri [“uzizingatie,” “NW”] kazi za Mungu za ajabu.”—AYUBU 37:14.
1, 2. Ni uvumbuzi gani wa ajabu uliofanywa mwaka wa 1922, nao ulionwaje?
MWAKIOLOJIA mmoja na mheshimiwa mmoja Mwingereza walikuwa wameshirikiana kwa miaka mingi kutafuta hazina. Hatimaye, Novemba 26, 1922, katika makaburi ya mafarao wa Misri kwenye Bonde maarufu la Wafalme, mwakiolojia Howard Carter na Mheshimiwa Carnarvon walipata hazina hiyo—kaburi la Farao Tutankhamen. Walitoboa shimo kwenye mlango uliokuwa umezibwa kabisa kisha Carter akaingiza mshumaa na kuchungulia ndani.
 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets