Pages

Thursday 19 March 2015

Norway Nchi Bora Kuishi duniani, Tanzania ya 151



NewsImages/3280494.jpg
Vivutio vya Norway
Nchi ya Norway ndiyo nchi bora kuliko zote duniani kutokana na maisha bora huku Niger ndio nchi choka mbaya kuliko zote duniani wakati Tanzania inashika nafasi ya 151 kati ya nchi 182 duniani.
Norway imeendelea kushika nafasi ya kwanza kama nchi yenye maisha bora kuliko nchi zote duniani na watu wengi wangependa kuishi nchini Norway kutokana na vivutio mbali mbali, ilisema taarifa ya shirika la maendeleo la Umoja wa mataifa UNDP.

JE WAJUA HAWA NDIO VIONGOZI WA SERIKALI/NCHI WENYE UTAJIRI MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI ??

1. Sultan Haji Hassanal Bolkiah

Nchi: Brunei
Utajiri wake: Dolla 20 billion
Pato la ndani la Nchi (GDP): $48,892

Yeye anaishi katika jumba kubwa duniani la kifahari, Istana Nurul Iman. Utajiri wake umetokana na biashara ya mafuta na gesi, pia anamiliki maelfu ya magari ya kifahari.

Yanga mia mia, Simba ni shiida

Image result for yanga

Posted  Alhamisi,Marchi19  2015  saa 13:15 PM
Kwa ufupi
Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 34, moja zaidi kwa  Azam (33) inayoshika nafasi ya pili, Simba imebaki nafasi ya tatu na pointi zake 29, huku Mbeya City ikijikwamua kutoka nafasi 13, hadi nafasi

Monday 16 March 2015

Yanga in image fight as it face Platinum FC



Platinum FC players
Young Africans (Yanga) host FC Platinum of Zimbabwe in the CAF Confederation Cup, first leg at the National Stadium in Dar es Salaam this afternoon.

Tuesday 10 March 2015

Je, kuna Mungu? Je, kuna ushahidi wa kuthibitisha kuweko kwa Mungu?

Jibu: Je, kuna Mungu? Ninaona ni jambo la kusisimua ya kwamba umakini mwingi umepawa mjadala huu. Katika takwimu zetu hivi sasa zasema ya kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watu duniani wanaamimi kuweko kwa Mungu au Mamlaka ya kiwango cha juu. Jukumu linabaki kwa wenye kuamini kuthibitisha ukweli wa kuweko kwake. Mimi nafikiri ingewapasa wale hawaamini watuthibitishie.

Kuweko kwa Mungu hakuwezi kutothibitishwa wala kuthibitishwa. Bibilia inasema inatupasa kukubali kwa imani kuwa Mungu yuko, “Na pasipo imani haiwezekani mtu kumpendeza Mungu, kwa kuwa kila ajaye kwake sharti aamini kuwa yuko na ya kuwa huwapa vitu wale wamtafutao kwa bidii” (Waebrania 11:6). Kama Mungu alingetaka iwe, angejitokeza tu mbele ya ulimwengu wote kuwajulisha wote kuwa yeye yuko. Lakini, angefanya hivyo hakungekuwa na haja ya imani. “Tena Yesu kamwambia, ‘kwa kuwa umeniona, umeamini; heri wale ambao hawakuniona na wameamini” (Yohana 20:29).

Je wajua kwa nini Mungu aliruhusu majanga ya asili, mitetemeko ya ardhi, vimbunga, na sunami?


Jibu: Ni kwa nini Mungu aliruhusu mitetemeko ya ardhi, kiluwiluwi, vimbunga, sunami, miporomoko ya ardhi, na majanga mengine ya asili? mwishoni mwa mwaka 2004 janga la sunami liloikumba Asia, upepo mkali ulioikumba Marekani ya kusini mwaka wa 2005, na 2008 kimbunga huko Myanmar vilfanya watu wengi kuuhoji wema wa Mungu. Ni jambo la kusikitisha kwamba majanga ya asili mara nyingi yanakisiwa kuwa “matendo ya Mungu” huku hakuna utukufu wowote kwa Mungu kwa miaka mingi, miongo kadhaa, au hata karne ya hali ya hewa ya amani. Mungu aliyeumba ulimwengu wote na sheria za asili (Mwanzo 1:01). Wingi wa majanga ya asili ni matokeo ya sheria hizi zatimia. Vimbunga, tufani, na upepo mkali ni matokeo ya mifumo tofauti ya hali ya hewa mbumburisho. Mitetemeko ya ardhi ni matokeo ya muundo wa kisahani wa dunia ambao wabadilisha dira ya sunami ukisababishwa na tetemeko la ardhi chini ya maji.
 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets