Pages

Friday 26 September 2014

Je Wajua kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani?

Je Wajua kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani? Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani
Duma anaweza kukimbia mpaka kilomita 113 kwa saa na anaweza kuongeza mwendo kasi kutoka kilomita 0 mpaka 70 kwa saa kwa sekunde 2
Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani
Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets