Katika barabara za jijini Kampala -mji mkuu wa Uganda-siku hizi kuna vitu ambavyo vimepambwa ambavyo si vya kawaida.
Kuna picha kubwa za michoro ya sanaa ikiwa juu ya pikipiki -maarufu kama Bodaboda.
Hii
ni sehemu ya tamasha la sanaa la kisasa la michoro. Shabaha ya
maonyesho haya ni kufichua maisha na sauti ambazo hazijawahi kusikika.
No comments:
Post a Comment