Pages

Saturday 3 January 2015

NCHINI KENYA SHEHENA YA AJABU YAKAMATWA KWENYE BANDARI YA MOMBASA,YAKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU

81Kontena amabalo lilikuwa na vitu vya nyumbani,limekamatwa likiwa na vitu vingi vya ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo inasemekana hutumika katika ibada za dini za kishetani.Mzigo huwa bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya na hii hapa audio ya ripoti nzima na pamoja na video yenyewe kama ilivyoripotiwa na Citizen Tv
like page yetu kwa habari zaidi

1 comment:

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets