Pages

Tuesday 30 December 2014

Jamaa mmoja aliyekuwa kichaa si alionekana kapona akaruhusiwa kutoka hospitali:

Madaktari wakamchukua katika gari la wagonjwa hadi mtaani kwake kisha wakasimamisha gari karibu na nyumbani kwake na kuulizwa, 
unapakumbuka kwako?” 
Akajibu “Ndio napakumbuka nyumba yangu ilee”, 
Wakatoka wanafunzi wawili katika ile nyumba wamevaa sare za shule, jamaa akasema,
Wanangu walee wanatoka wanaenda shule”, 
Mara akatoka mwanamke kabeba kikapu, jamaa akasema,
Na mke wangu yulee anatoka anaenda sokoni”, Ghafla akatoka mwanamume kavaa tai na kabeba brifkesi, jamaa akasema,
Enhee! na mimi yulee naenda kazini!

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets