Pages

Friday 5 December 2014

Je wajua Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani ?

Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani
Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani
Binadamu wa kihindi ambaye ndie baba mzee mkongwe kuliko wote duniani  kawa baba kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 96.
Raghav Ramjit ilitunukiwa kuwa baba mzee mkongwe kupita wote dunbiani  miaka miwili iliyopita wakati yeye alikuwa amemzaa mwana wake wa  kwanza Karamjit akiwa na umri wa  miaka 94.
• Pamoja na uzee na ukongwe wake Ramjit Raghav ana uwezo wa kufanya tendo la ndoa mara tatu kwa usiku mmoja
• Mwanawe wa kwanza, Karamjit, alizaliwa miaka miwili iliyopita katika mji wa Haryana, kaskazini mwa India
like hapa kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets