LONDON
(TrustLaw) imebaini katika tafiti zao kuwa Afghanistan, Kongo na
Pakistan ni nchi hatari zaidi kwa wanawake kuishi duniani kutokana na
mlipuko wa vitisho kuanzia unyanyasaji, ubakaji, afya duni, Nk. Kura ya
maoni iliyofanywa na mtaalam wa Thomson Reuters FoundationIndia na Somalia katika nafasi ya nne na ya tano, kwa mtiririko huo,
TrustLaw iliuliza wataalam wa jinsia 213 kutoka mabara matano juu ya mtazamo wa jumla wa hatari kama vile: afya duni, unyanyasaji wa kijinsia, mahusiano yasiyo ya kingono, kitamaduni au kidini, ukosefu wa rasilimali na biashara ya binadamu.
Nchi Tano Hatari Duniani kwa wanawake ni:
1. Afghanistan
2. CONGO
3. PAKISTAN
4. INDIA
5. SOMALIA
like hapa kwa habari zaidi

No comments:
Post a Comment