Unajua kwamba miguu ya mdudu kipepeo
ina uwezo wa kutambua aina ya chakula? Mdudu huyu mwenye uwezo wa
kuluka, chakula chake kikuu ni maua. Miguu yake ina uwezo wa ajabu
katika kutambua wa aina ya chakula. Mdudu huyo ana uwezo wa kutambua
aina ya chakula kwa kutumia miguu yake miwili ya mbele. Kipepeo huwa ana
miguu sita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment