Pages

Thursday 1 January 2015

Je wajua methali za siku izi?


1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria
******************************************************
******************************************************
like page yetu hapa

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets