Mpaka kufikia Aprili 2014, kuna Sayari 21 nje ya mfumo wetu wa Jua, ambazo zina uwezekano mkubwa wa kuwa na maisha ukiachana na Sayari yetu (Dunia).
Katika sayari hizi 21, zipo ambazo wanaSayansi hawana uhakika zaidi, kwani wanaendelea kuzisoma mazingira yake.
Ifuatayo ni orodha ya Sayari 10, ambazo mpaka sasa; zina uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa na namna fulani ya maisha/ viumbe hai.
Kabla ya kuanza, ningependa kufanunua, maana ya ‘mwaka wa nuru’ (light year) kwa faida, kwa kuwa ntakuwa nikiitumia mara kwa mara katika makala hii…
Mwaka wa Nuru (Light Year):
Mwaka wa nuru ni kipimo si cha muda lakini cha umbali. Kinataja umbali unaopitiwa na nuru ikitembea kwa muda wa mwaka mmoja wa dunia yaani siku 365.
Msingi wa kipimo hiki ni kasi ya nuru ya kuwa nuru inatembea takriban kilomita 300,000 kwa sekunde. Idadi kamili ni mita 299,792,458 kwa sekunde moja. Mwezi wa dunia yetu una umbali na sisi kama sekunde moja ya nuru au kilomita lakhi tatu na dunia.
Katika mwaka mmoja umbali huo unafika mita 9.461 × 1015.
Kipimo hiki kinahitajika kutaja umbali kati ya nyota na nyota angani.
Sasa Tuanze:
10. Kepler-186f
Kepler-186f ni Sayari ambayo inafanana zaidi kiukubwa na Dunia kuliko zote ambazo zimepatikana. Sayari hii ipo umbali wa miaka ya nuru (light-years) 490 kutoka Duniani.
9. Gliese 581g
Sayari hii bado inakumbana na utata miongoni mwa wanaAstronomia mbalimbali. Iligundulika kwa mara ya kwanza, mwaka 2010. Pamoja na kwamba, bado kuna wanaSayansi wanaopata tabu kuihakikisha; Chuo cha Puerto Rico kilichopo Arecibo kinasema Gliese 581 g ni mhitimu wa kwanza kama tunatafuta viumbehai katika Sayari nyingine.
Sayari hii ipo umbali wa miaka ya nuru 20 kutoka Jua letu, na ina ukubwa mara tatu ya Dunia yetu. Sayari hii inazunguka nyota yake iitwayo Gliese 581 kila baada ya siku 30, na ipo katika Kundinyota (constellation) Libra.
8. Gliese 667Cc
Sayari ipo katika kundi la Sayari tuziitazo “Super-Earth”, kwani inaizidi kiukubwa Dunia yetu mara 4.5.
Ipo umbali wa miaka ya nuru 22 kutoka Duniani, na ipo kwenye Kundinyota Scorpius. Inazunguka nyota yake iitwayo GJ 667C ndani ya siku 28.
7. Kepler-22b
Kepler-22b ni kubwa kuliko Dunia mara 2.4. Inazunguka nyota ambayo inafanana kwa karibu na Jua letu kwa ukubwa na Joto.
Kepler-22b ipo umbali wa miaka ya nuru 600, kwenye Kundinyota Cygnus.
6. HD 40307g
HD 40307 g ni Sayari nyingine iliyo kwenye kategoria ya “Super-Earth”. Ipo umbali wa miaka 42 ya nuru katika Kundinyota Pictor…
5. HD 85512b
HD 85512b ilitangazwa mwaka 2011 ikiwa ni miongoni mwa Sayari 50 zilizogundulika kwa kutumia chombo cha HARPS (High Accuracy Radial Velocity Planet Searcher) kilichopo nchini Chile.
Sayari hii inaizidi kikubwa Dunia mara 3.6, na ipo umbali wa miaka 35 ya Nuru kwenye Kundinyota Vela.
4. Tau Ceti e
Sayari ya Tau Ceti e iligundilika Desemba, mwaka 2012.
Ipo kwenye Kategoria ya “Super-Earth”, ikiizidi Dunia kiukubwa mara 4.3. Sayari hii ipo umbali wa miaka 11.9 ya nuru.
3. Gliese 163c
Ukubwa wa Sayari hii, unafanya WanaSayansi wasiwe na uhakika ni Sayari ya aina gani. Inaizidi ukubwa Dunia mara 7, which means inaweza ikawa Sayari mwamba kubwa sana, au yaweza kuwa Sayari ya gesi kama Mshtarii (Jupiter).
Gliese 163c huzunguka nyota yake kila baada ya siku 26. Ipo umbali wa miaka 50 ya nuru kutoka sayari yetu, na ipo kwenye Kundinyota Dorado.
2. Gliese 581d
Sayari hii inaizidi kiukubwa Dunia mara 7 pia, na ipo umbali wa miaka 20 ya nuru.
1. Tauceti f
Tauceti f pia ipo kwenye Kategoria ya “Super Earth” kama sayari nyenzake Tauceti e.
Tauceti f inaizidi ukubwa Dunia mara 6.6…
(Na hizo ndizo Sayari 10 zinazoweza kuwa na maisha/viumbe hai… Nitoe Shukrani kwa 'space.com’ kwa kunisaidia kupata taarifa hizi.)
like page yetu kwa hufahamu zaidi
KUTANA NA RAISI
MASIKINI KULIKO WOTE DUNIIANI. JOSE MUJICA WAKATI hapa nchini baadhi ya
viongozi wakikataa kuweka hadharani ama kuficha mali wanazomiliki, hali
ni tofauti kwa Rais wa nchi ya Uruguay, José Mujica, ambaye ameamua
kuishi maisha ya kifukara sawa na wananchi wake wa kawaida. Tofauti na
viongozi wetu ambao hudai nyongeza nono ya malipo yao wakati wakiwa
tayari wanalipwa fedha nyingi kupita kiasi, Mujica katika zama hizi
anaweza akawa ndiye rais maarufu kuliko wote duniani, akitoa asilimia 90
ya mshahara wake kwa ajili ya maendeleo ya watu wake. Mujica anaingia
kwenye vitabu vya kihistoria akijenga hadhi na heshima ya kuitwa rais
maskini duniani, lakini mwenye roho ya kujali. Jina lake la utani sasa
ni Rais Maskini. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Rais Mujica
anasema mali kubwa anayomiliki ni gari aina ya Volkswagen Beetle, lenye
thamani ya dola za Kimarekani 1,945 ambazo ni sawa na shilingi za
Kitanzania milioni 3.1. Analipwa mshahara wa dola 12,500 kwa mwezi
ambazo ni sawa na shilingi milioni 19.9, lakini anabaki na dola 1,250
ambazo ni sawa na shilingi milioni 1.9 kwa ajili ya mahitaji yake na
kiasi kingine chote kilichobaki ambacho ni karibu sh milioni 18 hukitoa
kwa ajili ya watu maskini na wajasiriamali wadogo. Mujica mwenye umri wa
miaka 77 ambaye amekuwa Rais wa Uruguay tangu Machi 1, 2010 anasema;
“Niko sawa kabisa na kiasi ninachobaki nacho kwa sababu kuna watu wengi
wa Uruguay ambao wanaishi kwa kiwango kidogo cha pesa.” Rais huyo
anaishi katika nyumba ya kawaida shambani ambayo ni ya mke wake, Lucía
Topolansky, ambaye ni seneta. Pia naye anatoa sehemu ya mshahara wake
kwa ajili ya watu wa Uruguay. Mujica alikataa kuishi kwenye jumba la
kifahari, Ikulu ambalo huishi marais akachagua kwenda kuishi shambani
kwenye nyumba ya mke wake katika mji wa Montevideo. Huko barabara ni
mbaya. Rais na mke wake wanafanya kazi katika shamba lao la maua. Nguo
zinazoonekana zimeanikwa nje ya nyumba yao ni zile za kawaida, huku
nyingine zikiwa zinaonekana kuukuu. Maji anayotumia yanatoka kwenye
kisima. Hayo ndiyo makazi ya Rais Mujica, ambaye mfumo wa maisha yake
yanatofautiana kabisa na viongozi wengi duniani. Rais huyo hana hata
akaunti ya benki, wala deni lolote na hana lundo la walinzi. Walinzi
wake ni maofisa wawili wa polisi na mbwa wake mwenye miguu mitatu ambaye
anaitwa Manuela. “Nimeishi hivi karibu maisha yangu yote,” anasema,
akiwa amekaa katika kiti chake kilichoko kwenye bustani, ambacho kina
mto ambao mbwa wake Manuela hupenda kuulalia. “Naweza kuishi vizuri kwa
kile nilichonacho,’ anaongeza Rais Mujica. Mwaka 2010, alipotangaza mali
zake kama ilivyo kawaida kwa maofisa wa Uruguay kufanya hiyo, Rais
Mujica alikuwa na mali yenye thamani ya dola 1,800 ambazo ni sawa na
shilingi milioni 2.9, ambayo inakaribiana na thamani ya gari lake la
mwaka 1987, Volkswagen Beetle. Mwaka huu aliongeza nusu ya mali za mke
wake – ambazo ni shamba, matrekta na nyumba ambazo zimefikia dola
215,000 ambazo ni sawa na shilingi milioni 341.5. Kiasi hicho bado ni
mbili ya tatu ya mali alizotangaza kumiliki Makamu wa Rais Danilo
Astori, na theluthi ya mali zilizotangazwa na mrithi wa Mujica kama
rais, Tabare Vasquez. Imeripotiwa kuwa chini ya mfumo wa uongozi wake
huo, kiwango cha rushwa nchini Uruguay kimeshuka sana. Nchi hiyo ambayo
ipo katika bara la Amerika Kusini, katika ripoti ya Transparency
International’s global corruption imeripotiwa kushika nafasi ya pili
kutoka mwisho katika orodha ya nchi zenye kiwango kidogo cha rushwa.
Rais Mujica alichaguliwa mwaka 2009, huku miaka ya 1960 na 1970 akiwa
ametumia maisha yake kama mpiganaji wa msituni kupitia kundi la
kiharakati la Tupamaros. Kundi hili la kipiganaji lenye mrengo wa
kushoto, awali lilianzishwa na wafanyakazi wa hali ya chini waliokuwa
wakifanya kazi kwenye mashamba ya miwa na wanafunzi waliotajwa baada ya
utawala uliojulikana kama Inca chini ya Mfalme Tupac Amaru. Kundi hilo
lilichochewa na mapinduzi ya Cuba na lilipigana kuhakikisha serikali ya
kikatiba inarejea tena mwaka 1985. Mujica alitumia nafasi kubwa
kulibadili kundi la Tupamaros na kuwa chama cha kisiasa kisheria. Wakati
akipigania nchi yake kabla ya kulibadili kundi hilo na kuwa chama cha
kisiasa, amepata kupigwa risasi mara sita na ametumikia kifungo cha
miaka 14 jela. Muda wote ambao alikuwa akishikiliwa amepitia katika
mateso makali, huku akinyanyasika na kutengwa hadi pale alipoachiwa huru
miaka ya 1985 wakati Uruguay iliporejea kwenye demokrasia. Maisha hayo
yote ya gerezani, Mujica anasema yamemsaidia kushepu muonekano wa maisha
yake. “Naitwa rais maskini zaidi, lakini sijisikii kama ni maskini.
Watu maskini ni wale ambao tu hufanya kazi kwa ajili ya kuyafanya maisha
yao yawe ya juu, na siku zote hutaka zaidi na zaidi. “Hili ni jambo la
uhuru. Kama hutaki kuwa na mali nyingi hupaswi kufanya kazi katika
maisha yako yote kama mtumwa, na hivyo unakuwa na muda mwingi kwa ajili
yako. “Naweza kuonekana kichaa na mshamba. Lakini ni chaguo huru,”
anasema Rais Mujica. Mtafiti wa Uruguay, Ignacio Zuasnabar anasema watu
wengi nchini humo wanamuonea huruma Rais Mujica na kumuona ni mwenzao
kwa sababu ya jinsi anavyoishi. Lakini anasema hilo halizuii utendaji wa
serikali kukosolewa. Wapinzani wa Uruguay wanasema mwelekeo wa uchumi
wa nchi haujatoa matokeo mazuri katika huduma za umma kama afya na
elimu, na kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2009 umaarufu
wa Mujica umeshuka chini ya asilimia 50. Mwaka huu pia alijikuta katika
moto mkali kwa sababu ya mambo mawili ambayo yamezua mjadala mkali. Hivi
karibuni, Baraza la Wawakilishi la nchini humo lilipitisha muswada
ambao unaruhusu utoaji mimba wa hadi wiki 12, na tofauti na mtangulizi
wake, Mujica hakupinga hilo. Badala yake aliamua kubaki shambani kwa mke
wake. Mbali na hilo, pia jambo lingine ambalo limezua mjadala ni
kitendo chake cha kuunga mkono mjadala wa kuruhusu matumizi ya bangi,
katika muswada ambao huenda ukaipa serikali mamlaka ya kudhibiti
biashara zake. “Matumizi ya bangi si jambo la kuogopesha sana, lakini
jinsi ya kushughulikia suala la dawa za kulevya ni tatizo kubwa,”
anasema Rais Mujica. Hata hivyo, Rais Mujica hana sababu ya kuwa na
mashaka makubwa juu ya umaarufu wake kushuka kwa sababu kwa mujibu wa
sheria za Uruguay, haruhusiwi kugombea tena katika kipindi cha pili
mwaka 2014. Pia kwa umri wake wa miaka 77, huenda akastaafu siasa muda
si mrefu. Na atakapostaafu, atakuwa anakula pensheni zake. Huyo ndiye
Rais Mujica ambaye ameamua kujitofautisha kabisa na viongozi wengine
duniani, ambao kwao mali ni mtaji, hulindwa kama lulu, hulelewa kama
yai, huku wakitumia mamilioni ya walipa kodi kwenda kuangalia afya zao
kila baada ya mwaka au miezi nje ya nchi. Email ThisBlogThis!Share to
TwitterShare to Facebook 0 comments: Post a Comment Newer Post Older
Post Home Total Pageviews 91789 Like our Page Facebook Mahdi Pyalali
Moledina likes Kibanda cha nyumbani Kibanda cha nyumbani Create your
Like Badge wageni Widget by : All Blogging Tips bbc habari Blog Archive
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:
Post a Comment