Vivutio vya Norway |
Nchi ya Norway ndiyo nchi bora kuliko zote duniani kutokana na maisha bora huku Niger ndio nchi choka mbaya kuliko zote duniani wakati Tanzania inashika nafasi ya 151 kati ya nchi 182 duniani. | |
Norway imeendelea kushika nafasi ya kwanza kama nchi yenye maisha bora kuliko nchi zote duniani na watu wengi wangependa kuishi nchini Norway kutokana na vivutio mbali mbali, ilisema taarifa ya shirika la maendeleo la Umoja wa mataifa UNDP. |
Thursday, 19 March 2015
Norway Nchi Bora Kuishi duniani, Tanzania ya 151
JE WAJUA HAWA NDIO VIONGOZI WA SERIKALI/NCHI WENYE UTAJIRI MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI ??
1. Sultan Haji Hassanal Bolkiah
Utajiri wake: Dolla 20 billion
Pato la ndani la Nchi (GDP): $48,892
Yeye anaishi katika jumba kubwa duniani la kifahari, Istana Nurul Iman. Utajiri wake umetokana na biashara ya mafuta na gesi, pia anamiliki maelfu ya magari ya kifahari.
Yanga mia mia, Simba ni shiida
Posted
Alhamisi,Marchi19
2015
saa
13:15 PM
Kwa ufupi
Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 34,
moja zaidi kwa Azam (33) inayoshika nafasi ya pili, Simba imebaki
nafasi ya tatu na pointi zake 29, huku Mbeya City ikijikwamua kutoka
nafasi 13, hadi nafasi
Monday, 16 March 2015
Yanga in image fight as it face Platinum FC
Platinum FC players
Tuesday, 10 March 2015
Je, kuna Mungu? Je, kuna ushahidi wa kuthibitisha kuweko kwa Mungu?
Jibu:
Je, kuna Mungu? Ninaona ni jambo la kusisimua ya kwamba umakini mwingi
umepawa mjadala huu. Katika takwimu zetu hivi sasa zasema ya kuwa zaidi
ya asilimia 90 ya watu duniani wanaamimi kuweko kwa Mungu au Mamlaka ya
kiwango cha juu. Jukumu linabaki kwa wenye kuamini kuthibitisha ukweli
wa kuweko kwake. Mimi nafikiri ingewapasa wale hawaamini
watuthibitishie.
Kuweko kwa Mungu hakuwezi kutothibitishwa wala kuthibitishwa. Bibilia inasema inatupasa kukubali kwa imani kuwa Mungu yuko, “Na pasipo imani haiwezekani mtu kumpendeza Mungu, kwa kuwa kila ajaye kwake sharti aamini kuwa yuko na ya kuwa huwapa vitu wale wamtafutao kwa bidii” (Waebrania 11:6). Kama Mungu alingetaka iwe, angejitokeza tu mbele ya ulimwengu wote kuwajulisha wote kuwa yeye yuko. Lakini, angefanya hivyo hakungekuwa na haja ya imani. “Tena Yesu kamwambia, ‘kwa kuwa umeniona, umeamini; heri wale ambao hawakuniona na wameamini” (Yohana 20:29).
Kuweko kwa Mungu hakuwezi kutothibitishwa wala kuthibitishwa. Bibilia inasema inatupasa kukubali kwa imani kuwa Mungu yuko, “Na pasipo imani haiwezekani mtu kumpendeza Mungu, kwa kuwa kila ajaye kwake sharti aamini kuwa yuko na ya kuwa huwapa vitu wale wamtafutao kwa bidii” (Waebrania 11:6). Kama Mungu alingetaka iwe, angejitokeza tu mbele ya ulimwengu wote kuwajulisha wote kuwa yeye yuko. Lakini, angefanya hivyo hakungekuwa na haja ya imani. “Tena Yesu kamwambia, ‘kwa kuwa umeniona, umeamini; heri wale ambao hawakuniona na wameamini” (Yohana 20:29).
Je wajua kwa nini Mungu aliruhusu majanga ya asili, mitetemeko ya ardhi, vimbunga, na sunami?
Jibu: Ni kwa nini Mungu aliruhusu mitetemeko ya ardhi, kiluwiluwi, vimbunga, sunami, miporomoko ya ardhi, na majanga mengine ya asili? mwishoni mwa mwaka 2004 janga la sunami liloikumba Asia, upepo mkali ulioikumba Marekani ya kusini mwaka wa 2005, na 2008 kimbunga huko Myanmar vilfanya watu wengi kuuhoji wema wa Mungu. Ni jambo la kusikitisha kwamba majanga ya asili mara nyingi yanakisiwa kuwa “matendo ya Mungu” huku hakuna utukufu wowote kwa Mungu kwa miaka mingi, miongo kadhaa, au hata karne ya hali ya hewa ya amani. Mungu aliyeumba ulimwengu wote na sheria za asili (Mwanzo 1:01). Wingi wa majanga ya asili ni matokeo ya sheria hizi zatimia. Vimbunga, tufani, na upepo mkali ni matokeo ya mifumo tofauti ya hali ya hewa mbumburisho. Mitetemeko ya ardhi ni matokeo ya muundo wa kisahani wa dunia ambao wabadilisha dira ya sunami ukisababishwa na tetemeko la ardhi chini ya maji.
Subscribe to:
Posts (Atom)