Pages

Friday 3 April 2015

Je Wajua?

Mwezi mkubwa kuliko miezi yote katika mfumo wetu wa Jua ni ‘Ganymede’. Mwezi huo ni mkubwa kuliko hata sayari ya Utaridi (Mercury)
image
Ganymede' ambao ni moja kati ya miezi mingi ya Mshtarii (Jupiter) una kipenyo (diameter) cha kilomita 5,268, ukiuzidi ukubwa wa Mercury kwa asilimia nane (8%)
like page yetu kwa ufaamu zaidi

1 comment:

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets