Pages

Friday 10 April 2015

UNAMFAHAMU MNYAMA MZITO KULIKO WOTE DUNIANI?uzito wa ulimi wake ni sawa na uzito wa TEMBO mmoja


NYANGUMI WA BLUU AU the  blue whale ni mnyama aishie baharini na ana urefu wa mita 30 na uzito wa kilo hadi 201,000 au tani 210 na zaidi,ni mnyama mkubwa na mzito kuliko yeyote aliyewahi kutokea duniani.
HAYA NI MAMBO MATANO UNATAKIWA UYAJUE KUHUSIANA NA MNYAMA HUYU mkubwa duniani.
 

1:NYANGUMI WA blue alikuwa anapatikana karibu katika bahari zote duniani mpaka mwanzoni mwa karne ya 20,ambapo walianza kuwindwa na wawindaji haramu mpaka jumuia ya kimataifa ilipoamua kulinda WANYAMA HAO  mwaka 1966.


2:NYANGUMI WA BLUE hula zaidi wanyama wadogo wa baharini wanaoitwa KRILL_na nyangumi mmoja hula zaidi ya Krill milioni 40 kwa siku_hivyo inabidi waishi katika maendeo yenye msongamamo mkubwa wa wanyama hao
 


3:NYANGUMI JIKE HUZAA MTOTO MMOJA KILA BAADA YA miaka miwili au Mitatu…na motto wa nyangumi akizaliwa huwa na uzito wa tani 3 na urefu wa mita 7_na hunyonya maziwa ya mama yake lita 500 na zaidi au gallon 150 kwa siku
 


4:Wanasayansi wanakadiria kuwa NYANGUMI WA BLUE  huishi hadi miaka  miaka 80


5:UZITO WA ULIMI wa nyangumi wa blue ni sawa na uzito wa tembo mmoja
 

No comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZA KILA WAKATI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets